Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA
IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA
KODI 300,000 × 6
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI
#PUBLIC TOILET NZURI 🚻
#LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING SPACE AVAILABLE 🚗
#ULINZI UPO 24HRS
#FENCED
#FULL PAVING BLOCKS 🚫
#GOOD ENVIRONMENT 👍
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp