Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA KOROGWE
KODI 300,000X6
UMBALI KM 1.5
USAFIRI BAJAJI 700
BODA 1000
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO NA TOILET
CHOOO NA PUBLICK YA NJE YA WAGENI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI NA MAJI BURE PIA YANAFLOW NDANI
NDUGU MTEJA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PEVING BLOCK
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01-8-2025 KUONA NA KULIPIA LUKSA
NA USAFI UNAFANYA NDANI YA CHUMBA. CHA KO TU NJE KUNA MTU WA USAFI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA DALAL
I KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
##0655256419