Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HII HAPA KIMARA BARUTI DK 15
APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISHWA
CHUMBA MASTER SEBULE TILES GYPSAM SLIDE WINDO UMEME LUKU YAKO MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
MAZINGRA MAZURI KAMA UNAVYOONA HAPO
KODI 250K HADI 220K MIEZI 6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347