Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HAYA NJOO NA PESA HARAKA UHAMIE LEO NEW NEW APARTMENT ZIMEBAKI 2 TU
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO LINAWEKWA KABATI
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
# MAFENI KOTE
#TAA NZURI ZA UREMBO
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#0785889413
#0785889413๐๐๐๐ก๐ _๐ด๐๐๐ฒ๐ฒ