Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KISASA, NDANI YA FENCE
MASTER BEDROOM YA KIBABE
NA CO KUBWA SAANA..
USALAMA ๐ฏ%
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
*#MASTER BEDROOM*
*#TILES*
*#GIPSUM*
*#ALMINIUM*
*#MAJI METER YAKO*
*# UMEME SUB METER YAKO*
*๐ฅKODI YAKE 100,000/=X4
=====
ILIPWE LAKI MOJA KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA..
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2
BAJAJI TSH 700/=
BODA. TSH1000/=
CONT
0683234127
0718367179
๐ก๐น๐ฟ KARIBU SANA..