Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
KUBWA SANA
MASTER KUBWA
ZURI SANA LENYE MAKABATI YA KISASA
NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
KIMARA KOROGWE DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0713661530_0783661530



















