Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI WA KILOMITA MBILI 2
USAFILI UPO MWINGI SANA BAJAJI MIA 700 BODA BUKU
===
SIFA YA NYUMBA
CHUMBA MASTA
SEBULE KUBWA NA JIKIO
INAJITEGEMEA MAJI NA UMEME
MAJI YANATOKA CHOONI
NA JIKONI
=====
BEI 170,000X5,6
KWA MWEZI LIPA KUAZIA MIEZI MITATU NA KUENDELEA
KILA MPANGAJI ANAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
=====
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI 170,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=====
CONT
0683234124
0718367179