Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 ILIPWE SAMBAMBA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA YAANI LAKI 3
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#STORE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#GARDEN
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI