Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


——
MIEZI KUANZIA 3 INAPOKELEWA
APARTMENT MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIMARA SUKA #200k
=====
chumba Cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko
Bei:200,000 × 3
====≠==
fence itajengwa,umeme submeter
=====
Umbali dakika 15 kwa mguu
====
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
=====
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747