Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🏠APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWAA IPO NDANI YA FENSI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
SIFA ZAKE
INACHUMBA KIKUBWA MASTER
SEBULEE
JIKO LA NJEE
🛣LOCATION:KIMARA SUKA
UMBALI KUTOKA BARABARANI DK 5 KWA MGUU KUTOKA BARABARANI
💰BEI;LAKI 2 X MIEZI 6
SERVICE CHARGE ELFU 15
#0625606710