Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 150,000/= X 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/10/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA NDUGU MTEJA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU MNASHEA WAWILI TUU
#HAKUNA FENSI HAPA ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA
BEI NI 150,000/= X 6
đź’«đź’« APARTMENT IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 700
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679447338
0753454167