Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
BEI LAKI MOJA NA SABINI MARA 6
170000X6
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOJA TU LAMI KWA LAMI BARABARA RAFIKI KWA MAGARI YA AINA YOYOTE
SIFA NYUMBA
CHUMBA KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA NA CHOO SAFI
INAJITEGEME MITA YAKE MAJI DAWASA
UMEME SUB MITA
INA TILES JIPSAM DILISHA KIOO USALAMA WA KUTOSHA
IPO NDANI YA FENS PAKI IPO
KUBWA
USAFILI UPO MWINGI
BAJAJI JERO 500
BODA BUKU 1000
KWA MIGUU DK 10 TU
#0625606710