Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
KODI 250,000/= X 6
APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 5 MPKA 7 KUFIKA NYUMBANI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37