Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT TU NDANI YA FENCE ZIPO 4 NA MOJA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI UMBALI WA KM 3...
SOMA KWA MAKINI HAPA
Seble Kubwa
Chumba Master
Jiko kubwa (openi kitchen
Public toilet Nje
Maji Ndani
Luku yako
Tiles
Gypsum
Electric fensi
Ndani ya fence zipo Parking kubwa
Service charge 15,000
Kodi 150,000/=ร3(miezi fika site punguzo)
NYUMBA MPYA NA YA KISASA KWA BACHELA.INA KUFAA HAPA
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 1.5
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37