Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/10/2025 INAKUWA WAZI NI YA JUU
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA CHA KULALA
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
Kodi 300,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.