Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(100,000X3)KIMARA TEMBONI
____________
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
Chumba master Kubwa sana
Kodi: 100,000 kwa mwezi × 3
Apartment zipo 4 tu kwenye eneo moja,umeme wawili 2 na maji yanaflow chooni
Umbali KM 3 kutoka Temboni bajaji 1000 bodaboda 1000
Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
Ukilipa dalali mwezi mumoja malipo yake
____________
CONTACT US:
0716223412
0618976024



















