Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VYA KULALA VIWILI KIMOJA NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 400,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DAKIKA 10 KWA KUTEMBEA
USAFIRI NI BODABODA 1000 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KWA SASA HAIPO WAZI ITAKUWA WAZI TH 29/12/24 ILA KUANGALIA NDANI NA KULIPA RUKSA MPANGAJI ANATOKA TH 25 HAPO KUNA SIKU 3 ZA KURUDIA RANGI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA.
What saapp number 0689-547258