Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI NI 260K
MAJI ELFU 10
USAFI WA MAZINGIRA YA NJE ELIFU 10
#JUMLA NI 280,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
=================
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
=================
IPO KIMARA KOROGWE KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500
=================
SIFA ZAKE
#########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LINAWEKWA MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE KWA WAGEN WAKO
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR NA TULIVU
=============
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
===================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
==============
CONTACT
0742260844
0657384670



















