Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🔰 Apartments Mpya Zinapangishwa KIMARA MWISHO
📍 Kodi 250,000/= *6
_______
__
#Mafundi wanaendelea Kumalizia Finishing Ndogondogo, inakuwa tayari kuhamia tarehe 01/11/2024
• Jiko Linawekwa kabati
• Sebule
• Chumba Master
• Choo Cha Wageni
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Ndani ya Fensi zipo 6 tu
* Parking Kubwa
* Maji Ndani
#Upande wa Kushoto kama unaenda Mbezi
#Umbali wa km 1.5 usafiri bajaji Tsh 700/=
----------
#Malipo ya Dalali Nasoni Ni Tsh 250,000/=
#Kupelekwa Kuona Tsh 15,000/=
№:- 0753172516
------------