Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
——
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
HII BRBR YA ZEGE UMBALI WA KILOMETA 1.2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BODA ELFU MOJA TU MPKA GETIN
KODI NI 250,000 KWA MWEZI
SIFA ZAKE
#######
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
ZIPO APARTMENT 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA NA KILA MMOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
SERVICE CHARGE NI ELFU 15
CONTACT
0754344786
0652472014