Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KIMARA BUCHA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA BUCHA
DK 10 TOKA MAIN ROAD.
KODI NI 170,000ร6
CHUMBA MASTA, SEBULE NA JIKO
UMEME LUKU MITA SHARE W2
MAJI DAWASCO MITA YA MAJI SHARE NA YANATOKA NDAN.
NDANI Y FENC
ZIPO APARTMENT 4 NDANI Y COMPOUND 1
KWA KUTEMBEA DAKIKA 10
NB: KUINGIA TAR 8.3.2025
KUONA NA KULIPA RUKSA. KUONA NDANI NI MPK MPANGAJI ALIYOPO TUKIMKUTA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.