Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6 
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#JIKO KUBWA
#INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE 
BEI NI 200,000/= X 6 
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT ME: 0672 673363



















