Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
MPYAA MPYAAπ₯ MPYA MPYAA APARTMENT FOR RENT π₯ BEI NI 170,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
# JIKO FULL MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#KILA APARTMENT LINA DISHI LAKE DSTV
#GARDEN
# LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 170,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 TUU..USAFIRI BAJAJI 700 NA BODABODA 1,000 HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI
0713320608
0686334182