Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(90,000X5)KIMARA MWISHO 2.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, USAFIRI NI BAJAJI
➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENTS NZURI SANA INAPANGISHWA ZIKO MBILI TU NDANI YA FENSI ..UMEME WANASHARE WAWILI NA MAJI
SIFA ZAKE:
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
LOCATION "KIMARA MWISHO
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 2.3..USAFIRI BAJAJI 1000..UKISHUKA DK 1 UPO NDANI
BEI:ELFU 90,000 X MIEZI 5
SERVICES CHARGE ELFU 15,000
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453