Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 10/04/2025 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET
#FULL ICE
#HITER MAJI MOTO
#ELECTRICK SECURITY
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU YAKO MAJI YAKO
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 370,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
##0655256419