Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟAPARTMENT #INAPANGISHWA
โ๏ธNB inakuwa wazi date 15 /06/2024 kuona nakulipa luksa kabisa
๐Kimara korogwe kilungule
โฐkm 1.8 kutoka Morogoro Road usafili bajaji 500 ukishuka dk 5 boda 1000
๐ SIFAZAKE
๐ทChumba master
๐ทSebule
๐ทjiko
๐ทUmeme Luku share 2 kila mmoja ana submiter yake
๐ทMaji yanaflow ndani masaa 24
๐Hii ipo wazi kabisa una hamia now
๐ถKodi Tsh 180,000/=x6(Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali roony Tsh 180,000/=
๐ถService charge Tsh 15,000/-
#Piga_simu
โ 0627977383
Karibu Sana Ndg Mteja๐ง๐