Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT BEI NI 175,000X6
APARTMENT
HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
# JIKO FULL MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#KILA APARTMENT INA DISHI LAKE DSTV
#GARDEN
# LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 175,000/= X 6 NI NZURI SANA
APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 TU
USAFIRI BAJAJI 700 NA BODABODA 1,000 HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI 1 WAHIII
What saapp number 0689-547258