Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment ya Chumba master Sebule na Jiko (250,000) #KIMARA_TEMBONI
APARTMENT KALI MNO INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI UMBALI DK 8
MIGUU
CHUMBA KUBWA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
NDANI YA FENSI
PARKING KUBWAA
PAVING BLOCKS
ELECTRIC FENSI
BEI 250,000 × 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300