Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA CHA KULALA
#CHOO CHA NDANI
#JIKO KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA MAZINGIRA MAZURI PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA BUCHA DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
Kodi 250,000/= Kwa Mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.