Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT MPYAAA MPYAAA KABISA ZINAPANGISHWA KIMARA MWISHO(DSM)🇹🇿
#SEBULE KUBWA SANA MNO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#CHOO CHA WAGENI KIPO NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA FULL GARDEN
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI DAWASA 24HRS MITER YAKO
#LOCATION KIMARA MWISHO KM.1 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI X "4"
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000/=
CONTACT US :0712656027
WHATSAPP :0712656027