Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYA MPYA MPYA KABISA ZINAPANGISHWA
LOCATION KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI DK.3 KUTEMBEA KWA MGUU
JUMLA ZIPO APARTMENTS NNE TU KWENYE COMPOUND MOJA NA MPAKA SASA ZIMEBAKI MBILI TU
( A ) CHUMBA MASTER KUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO LAKE ZURI OPEN KITCHEN LINAFUNGWA MAKABATI
KODI NI TZS 250K X6
( B ) CHUMBA MASTER KUBWA _YAANI NI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI
KODI NI TZS 150K X6
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE HAKUNA
KILA MTU ANAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE PIA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZ'S 15K
CONT 👇
0713661530_0783661530