Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENTS NZURI SANA INAPANGISHWA ZIKO NNE TU NDANI YA FENSI ..UMEME UNAJITEGEMEA NA MAJI YANAFLOW NDANI
SIFA ZAKE:
>CHUMBA MASTER
>SEBULE KUBWA
>JIKO
LOCATION "KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 2.USAFIRI BAJAJI 1000
BEI:LAKI 200,000 X MIEZI 6
SERVICES CHARGE ELFU 15,000
#0625606710