Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KODI TSH 150,000x6
MAHALI ILIPO KIMARA STOP OVER DK 6 -7 KWA MGUMU
NI CHUMBA SEBULE CHOO NDANI TAIRIZ JIPSUM DILISHA WAVE
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
UMEME SHEA 4
NDANI YA FENCE PARKING IPO USALAMA WAKUTOSHA 100%
KUONYESHWA NYUMBA 15k
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258