Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







WAHI KIMARA TEMBONI
APARTMENT INAPANGISHWA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KODI 150,000X4x5
UMBALI KUTOKA
MOROGORO ROAD KM 2
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1000
CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA TOILET PUBLIC NJE YA WAGENI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANA FLOW MAJI DAWASA MASAA 24
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PEVING BLOCK
KUPELEKWA KWENDA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NAUKIPENDA NYUMBA MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751
WSP 0786085637