Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐ฅKODI :LAKI 200,000 X 6
๐ APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI BAJAJI 700 MPKA GETINI BODABODA 1000
SIFA YA NYUMBA NI
CHUMBA MASTER ,
SEBULEE na
JIKO ZURI
Nyumba mpya kabisa UNAJITEGEMEA MWENYEWE UMEME WAKO NA MAJI .
IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA MAZINGIRA MAZURI
Ukishuka tuu unashukia GETINI
๐ฐBEI POA SHILLING 200,000 X 6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE SHILLING 15,000 ITADUM MPAKA UPATE NYUMBA UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
CALL 0625606710
CALL 0783794666