Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT  NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/02/2025
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LIMEFUNGWA MAKABATI 
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIR-CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBANI
#PAVING BLOCK 
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA 
โผ๏ธZIPO APARTMENT 3 TUU NA HII MOJA YA CHINI NDIO INAPANGISHWA 
BEI NI 350,000/= ร 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA  UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0715949085
0782838336




















