Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA KUBWA YA KIBACHELA
MASTER BEDROOM & JIKO
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA KOROGWE
š„KODI YAKE 200K X6
*SIFA ZAKE NI
ā” *MASTER BEDROOM KUBWA*
ā” *JIKO SAFI
*ā”HAKUNA SEBULE
ā” *TILES
ā” *GIPSAM
ā” *ALMINIUM
ā” *MAJI DAWASA METER YAKE
ā” *MAJI YANAFLOW NDANI
ā” *UMEME METER YAKE
ā” *PARKING KUBWA
*ā”GARDEN SAFI
š” *APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI, BARA BARA YA ZEGE
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.
*BAJAJI TSH500
*BODA TSH1000
*NOTE:: MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
HAPA ANATAKIWA MPANGAJI BACHELOR, NA AWE MKRISTO SIMU 0659336751 WSP 0786085637