Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







βΌοΈANATAKIWA MPANGAJI ASIYE NA FAMILIA AU MUME NA MKE TUβΌοΈ
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KODI TSH 150,000X6
MAHALI ILIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 7 KWA MGUU
NI CHUMBA NA SEBULE CHOO CHA NJE CHAKO MWENYEWE
MADIRISHA SLYD WINDOWS,FENI
NDANI FENSI USALAMA WAKUTOSHA
UMEME MITA YAKO MWENYEWE
WAHI CHAPU πββοΈπ₯πΊπ NYUMBA ZA KARIBU HAZIKAI
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 π
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 π
0715949085
0782838336



















