Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYA MPYA KABISA HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA
CHUMBA Master bedroom Kubwa
SEBULE KUBWA SANA
NA
KIBARAZA CHENYE SINKI KWA KUOSHEA VYOMBO
TAILZY GIPSUM MADIRISHA ALMINIUM NYUMBA HAINA FENC ILA USALAMA NI WAKUTOSHA
LUKU SHARE W2 KUNA SUBMITA
NA
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
LOCATION :- Kimara bucha dk6
Kodi 250,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.