Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 8 - 9 KUTEMBEA
SIFA YA NYUMBA NI
Chumba master sebure na jiko open kitchen
Inapangishwa hapa stop over
NYUMBA NI MPYA MPYA
Hii zipo 4 kwenye fence moja Kilamoja inajitegeme umeme na maji
KIRICHO BAKI NI RANGI. TU ยฟ KUINGIA
BEI SHILLING 250,000 X 5-6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES SHILLING 15,000 ITADUM MPAKA UPATE NYUMBA
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
CALL
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI