Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA #KIMARA_MWISHO
#KODI 180,000X4
#AU 150,000X6
#CHUMBA MASTER
#SEBULE NA BARAZA LA KUPIKIA
TAILS GYPSUM ALUMINIUM
MAJI YANA FLOW NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
DALADALA 700
UKISHUKA DAKIKA 2 UPO NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343