Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartment Classic For Rent
Location: KIMARA BARUTI
📍 Kodi Tsh 150,000 × 6
#Wahi Huwa haikai sana
____
________
• Sebule ya wastani
• Chumba Master
• Sehemu ya Jiko
* Umeme SUB-METER Yako
* Maji Yanatoka Ndani
* Fenced
* Haina Parking
* Inafanyiwa ukarabati ukilipia
#Umbali wa Km 1 usafir bajaji 500 tu, ukishuka unatembea dakika 3 tu
Service Charge 15,000/=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp