Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







IYO YA CHINI KABISA NDIYO IPO WAZI
APARTMENT NZURI MPYA KABISA INAPANGISHWA
KODI NI 250,000 × 4/5/6
LOCATION: KIMARA MWISHO
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
📍SEBULE KUBWA
📍CHUMBA MASTER KIKUBWA
📍JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI TAXS NOAH 500 UKISHUKA DK 2 UPO NDANI
📍INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO
📍MAJI YAPO DAWASA 24HRS YANAFLOW NDANI 24HRS
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU HARAKA
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp