Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
⚡️#LUKU MITA YA INAJITEGEMEA
🤝#MAJI DAWASA MITA YAKO NA SIMTANK LAKO
NB;NYUMBA IPO NDANI YA FENCE ISIYO LAZA GARI
💰BEI NI 150,000/= X 6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT
0742260844