Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA STOP OVER
KODI: 150,000X4.5.6
NI CHUMBA SEBULE KUBWA SANA
NA CHOO NDANI
MBELE INAKIBALAZA
CHA JIKO
UMEME LUKU YAKO
MAJI MNASHEA WATATU
UMBALI KM 1
BODA 1000 ADI
KWENYE NYUMBA
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI SIMU 0659336751 WSP 0786085637