Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(300,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘
APARTMENT 𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗜𝗣𝗢 𝗞𝗔𝗥𝗜𝗕𝗨 𝗡𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗔𝗕𝗔𝗥𝗔 INAPANGISHWA WAHI MTEJA #300K
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI LENYE KABATI
#LUKU NA MITER YA MAJI INAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 - 6 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300