Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAAA MPYAAA APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KUBWA
#JIKO
#LUKU MITA WAWILI
#MAJI DAWASA MITA YAKO NA YNAFLOO NDANI
NB;NYUMBA IKO NDANI YA FENSI
NYUMBA MPYA KUONA NA KULIPIA RUKSA .1/06/2025 UNAAMIA
💰BEI NI 150,000/= X 6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE
.. UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.