Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA #KIMARA BUCHA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA
#JIKO LAKE KUBWA
❌HAKUNA SEBULE
#PUBLIC TOILET IPO NJE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ULINZI BURE
#MTU WA USAFI WA MAZINGIRA NA GARDEN YUPO NI BURE KABISA ULIPII HATA MIA
#PARKING KUBWA
BEI NI 190,000/=×6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 1 TUU
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp