Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NIMEISHUSHA KODI KIDGO KUTOKA 250K HADI 230X6
.
KODI NI 230,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI WA DK 8 MPKA 10 TU KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
.
SIFA ZAKE
=========
CHUMBA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA SANA A
JIKO ZURI KUBWA
TILLES & GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
MAZINGIRA TULIVU SANA
.
BRBR NI RAFIKI KWA GARI YA AINA YOYOTE
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
CONTACT