Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENTS MPYA KABISA ZINAPANGISHWA #160 LOCATION KIMARA SUKA GOLANI KM 2.5
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani na jiko zuri sana na
Inajitegemea umeme na maji
Ndani ya fence parking IPO
===
Kodi 160,000 Kwa mwezi ×6
===
UMBALI KM 2.5 TOKA Morogoro Road
MBAKA KWENYE NYUMBA
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa